UKWAJU NA TIBA ZAKE,ZITAMBUE. - waleo blog

Breaking

Sunday, 26 January 2020

UKWAJU NA TIBA ZAKE,ZITAMBUE.

#TIBA MBADALA


Ukwaju ni mti mzuri sana na unamajina mengi  kutokana na pahali sehemu ulipo mfano.
Ukwaju kwa lugha ya kilatini unaitwa TAMARINDUS,
pia ukija kwa wahindu wanamajina yao IMLI,
na pia kwa kingereza wanahuwita TAMARIND TREE,
hizi ni baadhi ya nchi na wanavyo uwita, na ukija Tanzania wanahuwita UKWAJU,UKWASU,MATE MATAMU,NCHWACHU,SHINK MEREMERE haya ni majina baadhi ya lugha na jinsi wanavyo huwita mti huu wa ukwaju.


Ukwaju ni tiba ya magonjwa mbali mbali.


Majani ya ukwaju yanatibu fangasi , kusafisha kibofu cha mkojo ,na kutibu maumivu ya viungo .
Magome na mizizi .
Yanatibu. tatizo la kukosa choo.
Matatizo ya tumbo. na tumbo kujaa gesi.
Tunda la ukwaju
Huondoa kemikali sumu lehemu mwilini na kutibu tatizo la mmeng enyo pia inauwa bacteria na kuzuia wadudu wasikae katika ngozi.
Ukwaju
Hutibu homa za mara kwa mara.


Matumizi
Kunywa juisi  ya ukwaju iliyowekwa unga wa manjano.
Kuunga sehemu iliyovunjika
Chukua juisi ya ukwaju changanya na mafuta ya ufuta weka jikoni ipate uvugu vugu kisha toa jikoni chukua dawa uliyoiandaa, kandia sehemu iliyovunjika asubuhi na jioni kwa muda wa siku saba utapata matokeo mazuri.
Kutibu. Ngiri
Chemsha majani ya ukwaju kunywa kutwa mara tatu kwa siku sita utapona.
Maumivu ya sikio
Weka. vitone viwili vya juisi ya ukwaju maumivu yatakata.
Kuwasha kwa mwili au vipele mwilini.
Ponda ponda .majani ya ukwaju.
Matumizi, paka sehemu yenye matatizo utapona..
Mwili kutoa harufu mbaya.
Chukua ukwaju ulainishe vizuri kisha paka kwapani sehemu za siri na sehemu zozote zinazoa harufu ..paka mwili mzima.
Kupunguza uzito na unene
Kunywa glasi .mbili za juisi ya ukwaju kila asubuhi nawe utapunguza uzito na unene.
Upungufu wa nguvu za kiume
Kunywa juisi ya ukwaju hasubui na jioni ndani ya siku saba utapata majibu hakika utakua. na nguvu sana ukiwa unashiriki tendo la jimai na mkeo.
Kuteguka
Chukua juisi ya ukwaju changanya na chumvi ya mawe kisha paka sehemu iliyoteguka ndani ya siku tano utapona Mungu akipenda.
Ukwaju una faida nyingi sana ndani ya .mwili wa binadamu kwaiyo tunashauliwa kutumia juisi yake majani yake na mizizi yake mara kwa mara kwakua ukwaju unatukinga na magonjwa mbali mbali.

Share,like,coment na wengine wapate faida.


 


No comments:

Post a Comment

Pages