MAFUTA YA UPAKO NAYANAVYOTENGENEZWA. - waleo blog

Breaking

Wednesday 1 April 2020

MAFUTA YA UPAKO NAYANAVYOTENGENEZWA.


#TIBA MBADALA

Mafuta  upako ni moja ya kati ya mafuta ambayo hutibia matatizo /maradhi mbalimbali duniani.Mafuta haya ya upako ili yakamilike,basi huchanganywa mafuta ya matunda na mimea  mbalimbali kuanzia michanganyo mitatu(3)nk. Miongoni mwa michanganyo hiyo ambayo hukamilisha mafuta ya upako ni kama ifuatavyo.Mafuta makuu(mama) ambayo yamezoeleka ni mafuta ya MZAITUNI,lakini wengine huweza kuitumia miski(manukato tiba) kama kiungo kikuu.Mafuta mengine ni pamoja na ya limao/ndimu
,mafuta ya habati soda,mafuta ya kitunguu swaumu
nk.
Michanganyo hii ni tiba kwa maradhi yafuatayo:
1)kungarisha ngozi kwa uwepo wa mafuta ya mzaituni kwa matumizi ya kupaka kwenye ngozi yako na  yanafanya ngozi iwe laini na kuondoa mikunjo ya ngozi. Pia mafuta ya mzaituni ni mazuri sana kwa watoto wadogo.
2)huzuia aleji ( mchafuko wa damu), tumia vifuniko viwili changanya na mafuta habat soda (yamo ndani tayari) kifuniko 1 kunywa kutwa x 2 kwa muda wa siku saba au unaweza kuchanga kwenye uji ukawa unanywea.
3)Huzuia ugonjwa wa saratani.Hili ni tunda la mzaituni sasa,,  kula tunda 1 x2 kwa siku tiba hii itakusaidia kukukinga na ugonjwa wa saratani.
4)kufanya ngozi na nywele zako kung'aa; tumia kwa kupata tu.
5) Huzuia magonjwa ya moyo; hili ni tunda sasa kula tunda 1 na 1 jioni kwa muda wa siku 14, tiba hii itakusaidia kuzuia magonjwa ya moyo.
6)Hufukuza majini; chukua mafuta ya mzaituni changanya na harititi tumia kupaka mwili mzima usiku wakati wa kulala hakika kwa tiba hii sheitwani atakaa mbali nawe.
7)Hutibu degedege; tumia njia hiyo ya juu.
8)Huongeza nguvu za kushiriki tendo la jimai;chukua mafuta ya zaituni ml 500 changanya na ulinjani ya unga vijiko 5
Matumizi; kunywa vijiko viwili kutwa x mbili. Kwa muda wa siku 7 hakika tiba hii ni nzuri kwa jogoo(uume) asiyewika
vizuri.
9)Ugonjwa wa kusahau sahau;chukua mafuta ya mzaituni changanya na mafuta ya miski tumia kupakaa kwenye paji la uso.
10)Huondoa sihiri (uchawi)mwilini;chukua mafuta ya mzaituni vijiko viwili changanya na mafuta ya habati soda  yote hayo yapo ndani ya mafuta ya upako..Changanya vijiko viwili kunywa yote kwa pamoja na fanya zoezi hilo kwa muda wa siku saba uwe unakunywa usiku wakati wa kulala hakika tiba hii ni nzuri sana hata kama una vitu vinatembea tumboni vitatoka kwa idhini ya MUNGU.
11)kurefusha nywele👉🏻pakaa kichwani kila siku utaona matokeo.
12)Hutibu tatizo la mba👉🏻chukua mafuta ya mzaituni ml.50 changanya na unga wa salufa (kibiliti upele) kijiko kidogo cha chai.changanya dawa yako vizuri kasha tumia kupakaa kutwa x mbili na ukitaka kuanza tiba hii nyoa nywele zote na ubadi kipala. Kisha anza kutumia.
13)Hutibu maumivu ya misuli; chukua mafuta ya mzaituni changanya na alimiti  tumia kuchua sehemu yenye maumivu  na dawa hii inatibu:
*Maumivu ya kiuno                       chua
*Maumivu ya mgongo                    chua
*Ganzi ya mikono na miguu         chua
*Kiharusi                                          chua
*Miguu kuwaka moto                   chua
*Maumivu ya kichwa (kipanda uso) pakaa kichwani;
*Mafua,  pakaa kwenye tundu za pua kwa nje.
14)Huondoa nuksi na mikosi  changanya na mafuta ya miski tumia kupaka huku unatia nia kitu ulichokusudia Mungu atakusimamia.
15)Hukinga mwili na tatizo la uvimbe;  chuka mafuta ya habati soda vijiko viwili changanya na mafuta ya mzaituni vijiko viwili kunywa kutwa x mbili.
16)Ukichanganya mafuta haina tatu mafuta ya mzaituni.na mafuta ya ndimu na mafuta kitunguu swaumu yote ukipata kiasi cha ml.500 tiba hii inafukuza jini.mahaba mwilini.
Tumia kupaka kwenye paji la uso.mgongoni na tundu za masikio mbili zote pakaa kwa nje kisha nje ya pua tundu zote. Kisha paka tumbo hapo utakua umemaliza kupakaa dawa yako utalala vizuri sana bila kusumbuliwa na jini mahaba fanya zoezi hilo ndani ya siku 21 tu kwa idhini ya MUNGU jini huyo ataondoka.


Kama umekereka,umefurahishwa  na menginewe, usisite kutucheki hapa,
                                                +255767611645
                                                 adamgome96@gmail.com
                                                +255715080716
                                                           

No comments:

Post a Comment

Pages