MWANAMKE BIKRA NA ISHARA ZAKE. - waleo blog

Breaking

Wednesday 25 March 2020

MWANAMKE BIKRA NA ISHARA ZAKE.


#Jinsia

Bikira ni mwanamke yeyote asiyewahi kuingiliwa kijinsia na mwanamume. Kwa sababu hiyo kizinda/utepe kinacholinda tumbo la uzazi hakijaondolewa, bali kinabaki kama ushahidi wa hali hiyo.
Katika utamaduni wa makabila mbalimbali, kufikia ndoa katika hali hiyo ya ubikira ni jambo linalothibitisha msimamo wa mwanamwali unaoutumainisha  yakuwa atakuwa mwaminifu kwa mume wake.
Kati ya wote waliokuwa na sifa hiyo, maarufu zaidi ni mama wa Yesu wa Nazareti ambaye kwa heshima anaitwa  bikira Maria.
Katika kisa/historia ya mtawala mmoja aliyetawala huko nchini Misri maarufu kama Pharao/Firauni  kicheo,alikuwa na mke mmoja aliyejulikana kwa jina la Asia.Mwanamke huyu inasemekana nae ni miongoni mwa wanawake bikra.”Ilikuaje na ni mke wa mtawala,,endelea kusoma. Walio wengi hufahamu ya kuwa, mtawala huyu alikuwa mkaidi kabla na baada ya kutumiwa mjumbe Mussa na Mungu ya kwamba aache kujiita mungu na hatimaye amuabudu Mungu wa kweli.Historia na visa vyake ni vingi sana,hebu tutazame katika suala la unyumba na mkewe Asia.Firauni huyu mkaidi kicheo,pindi alipotamani kula tunda la mkewe,mkewe alimwambia na kumkumbusha,”Unafahamu mume wangu kuwa wewe ni mungu,sasa mbona unataka kufanya kitendo ambacho hufanywa na binaadamu?”
.Kwa sifa alizokuwa nazo mtawala huyu za kujiita mungu na baada ya kuambiwa maneno haya na mkewe,basi huhaghirisha kufanya tendo la ndoa na mkewe.Mwanamke huyu alikufa hali ya kuwa hanakuacha mtoto…Vipi mabinti zetu na sisi leo, tungewalea katika misingi kama hii ya Asia, pindipo atakapotongozwa na mwanaume,wakubaliane kwenda kuzini na kabla ya kuzini binti yako amwambie kijana yule,”Unajua bebi Mungu amekataza kuzini?”.ha aha ha haaaaaa!!!!. Tuyaache haya njoo kwenye bikra sasa.

Idadi ya mabinti wanaoolewa wakiwa bikra inapungua kwa haraka. Hata hivyo, usife moyo kwani mabikra bado wanapatikana.Leo nitakuonesha ishara za mwanamke bikra. Hapa nina  njia tatu za kukuwezesha kubaini iwapo mrembo wako hajalazwa na dume lingine. Ni vyema kufahamu kuwa kupoteza ubikra si mwanamke kuvunjika kizinda tu; kiwambo chaweza kuvunjika pasipo kushiriki ngono. Kwa mfano, msichana  kuendesha baiskeli/farasi kunaweza kupoteza ubikra. Ukiona__-mchumba……

1. Anavyojibu maswali yako; ukimtupia swali hili yeye hujibu vipi?. Iwapo ni mbichi{bikra} atajibu kwa upole na kwa kuona haya. Mwanadada asiye bikra ataudhika na swali lako na hata kukukasirikia. Ni kwa sababu swali hilo halimbabaishi  kwa sababu anajua vyema jibu lake.

 2. Anarukia gumzo za ngono; binti aliye bikra ni mtu mwenye adabu zake, gumzo safi asiyependa kujivuna. Kwa sababu hana uzoefu na mada za ngono, kila mara zinamuingiza baridi na hutampata katika kikao hicho.

 3. Anavyojionyesha kwa wanaume ;mwanadada  huona ubikra wake ni kitendo chenye umuhimu sana maishani mwake. Vile vile, huja na mabadiliko makubwa ya kitabia. Ubikra ukishaondoka, mwanadada huanza kujiachia sana kwa wanaume. Akiwa ni mwanafunzi utamwona akifanya ziara za mara kwa mara kwenda ofisi za walimu. Hutahitaji kuambiwa anachosaka huko; kizuri chajiuza na  kibaya chajitembeza. 


Habari  nyingine: Wanaume: Unalopaswa kujua kabla kushiriki mapenzi na  mwanamke bikra, usiwe na haraka kufanya maamuzi iwapo kidosho/mpenzi/mkeo ataonesha moja ya ishara hizi. Hata akionesha zote tatu yawezekana ni vidokezo tu ya  kwamba amepungukiwa na ubikra kimaadili wala hajavunja kizinda.

Huyo ndio bikra.

Maoni,mitazamo,falsafa,maono na ushauri ni bure;;;hapa chini:~
                                                +255715080716
                                        +255767611645
                                        Adamgome96@gmail.com

No comments:

Post a Comment

Pages