USB NA FLASHDISK,VYASUMBUA USWAHILINI. - waleo blog

Breaking

Sunday 23 February 2020

USB NA FLASHDISK,VYASUMBUA USWAHILINI.




#Umbuji wa lugha

Tofauti kati ya 'USB' na FLASHDISH na 'DJ' na DRUMBEATER katika Kiswahili.

Tafsiri kamili

1. 
USB ni Universal Serial Bus tafsiri yake ni   KISABI
U-Universal > BI-Bia
S-Serial>. SA -Sanjari
B-Bus>. KI-Kipitishi

USB-KISABI
Universal Serial Bus- Kipitishi Sanjari Bia.


2.DJ na Drumbeater/Player
DJ- Disc Joker ni 
Chalolomba au Chalosogora
Drumbeater- 
Sogora (Mtu anayecheza ngoma kwa kupiga akitumia mkwiro. Mkwiro ni fimbo itumiwayo kucheza kama vile 'Ohangla')

Kwa hivyo wale mlio na mazoea ya kuita Flashdisk kuwa USB acheni,madhali kuna tofauti kubwa sana. USB ni KISABI


Sisi ndio wakonongo(waswahili) wenyewe na Kiswahili chetu ndio hicho tukifuate.

Sambaza kwa wengine ili tuikuze lugha yetu ya Kiswahili.


Vizuri  vinakuja

No comments:

Post a Comment

Pages