PATA UTAMU KWA MIKAO/STYLE HIZI. - waleo blog

Breaking

Sunday 23 February 2020

PATA UTAMU KWA MIKAO/STYLE HIZI.


Makala hii ni kwa wana ndoa tu.Mchunge mwanao asiwe mpekuzi pekuzi.
#Raha utamu

 Mikao ya kujamiiana  ambayo imekuwa inatumika sana,lakini ipo mikao mbalimbali na mingi ambayo wewe na mwenza wako unaweza ukaitumia.Pengine ikawa hata ni mpya hakuna mwingine aliyeweza kufanya kile mlichokifanya nyinyi,mikao inachaguliwa kutokana na hali halisi ya mwenza wako mfano;- umbo lake mwembamba au mnene,mrefu,  mfupi kwako,kulingana kimo, n.k. Wepesi wa kumudu tendo kuweza kujikunja,ugeukaji,kutokuchoka haraka,uzito wa mwili,n.k.  Leo nakuletea hizi zifuatazo.
1.FLATIRON

Mwanamke alale kitandani uso ukiangalia chini makalio yaangalie juu, asisahau kubinua nyonga/makalio juu kidogo kama mvivu kidogo aweke mto chini ya kinena na kujibinua kwake kutaongeza raha na utamu zaidi

Faida yake
Mwanamke anapata nafasi ya kupata raha na utamu akiwa amestarehe vema,na kwakuwa miili inakuwa imebanana sana,maumbile ya mwanaume yataonekana makubwa kidogo.

2.G-WHIZ(CHALI CHALI)

Mwanamke alale chali uso,matiti na kila kitu viangalie juu,kisha mwanaume apige magoti mbele yake,baada ya hapo,mwanamke aweke miguu yake kwenye mabega ya mwanaume na unaweza kuweka mto chini ya makalio ya mwanamke  ili awe huru zaidi.

Faida yake
Mwanamke akiweka miguu juu ya mabega ya mwanaume wakati wa tendo ,kuna faida mbili mtafurahia,ya Kwanza, maumbile ya mwanamme na uke wa mwanamke zote zinakuwa katika usawa,hii inasaidia maumbile ya mwanaume kuisugua vizuri  na pili uke wa mwanamke unajibana kidogo,ikijibana inaongezeka kubana zaidi,na kufanya starehe ya tendo kuzidi
3.FACE-OFF

Mwanaume akae juu ya kiti au pembeni ya kitanda,mwanamke aje akae juu yake.

Faida yake
Mwanamke anakuwa ana uwezo wa kumiliki/kumudu kila kitu, spidi itakayotumika na uume iingie ndani ya uke kiasi gani na pia ni mkao mzuri kwa wale ambao wanapenda kupeana raha na utamu kwa spidi kubwa na mwanamke hawezi kuchoka haraka kwa kuwa anapata uhimilivu na sapoti ya kutosha.

4.COWGIRL

Mwanamke apige magoti kwa  mwanaume usawa wa uume wa mwanaume.  kisha akalie taratibu na anaweza kupata balansi  japo kwa kuegemea na kuweka mikono yake juu ya kifua cha mwanaume au juu ya magoti ya mwanaume.
Kisha aanze kwenda juu na chini,itafika muda atachoka,badala ya kubadili mkao au kutulia kidogo kwa sekunde kadhaa apate nguvu ya kuendelea na inashauriwa utumie muda huo wa kupumzika kidogo (kama sekunde 10 au 15)  kwa kumshika shika na kumtomasa mwanaume kifuani,a zungusha kiuno taratibu huku ukiongea maneno ya kimahaba sana, endeleeni kufanya hivi mpaka wote mfike kileleni  au mkitosheka mnaweza kubadili mkao.

Faida yake.
Ni style ambayo mwanamke anakuwa ana kontroo kila kitu yaani,yeye ndo anajua ajiweke kwenye pembe ipi ili mashine iweze kusugua sehemu zipi ndani ya uke wake ili aweze kufika kileleni kwa urahisi zaidi,ni style ya pekee ambayo inawafanya wanawake wengi wafike kileleni  bila matatizo.

5.LEAP FROG(KIMBWA MBWA)


Hii ni mikao wa mbwa iliyoboreshwa ambapo mwanamke akiwa kitandani,ainame halafu hips na makalio yake ainue juu huku mikono na kichwa chake avilaze juu ya mto. kuna haja jamani ya kusema mwanaume akae wapi? Hehehe!!!!!!.tehe tehe.

Faida yake
Hii style inatengeneza mazingira ya kuruhusu mashine ya mwanaume iweze kuingia ndani zaidi kadri apendavyo,na mwanamke anapata nafasi ya kupumzisha kichwa chake juu ya mto huku akijiachia na kupata uhondo.

6.BALLET DANCER

Mwanamke na mwanaume wote wasimame,kasha  mwanamke ainue mguu wake wa kulia auweke kwenye kiuno cha mwanaume na mwanaume aushikilie mguu wa mwanamke aliouinua ili kumpa balance.

Faida yake
Huu mkao  unaruhusu na inawapa nafasi ya kuangaliana uso kwa uso huku mkipeana raha na utamu kitu ambacho kinasaidia sana kuwaunganisha kihisia na kimwili pia.
Tumia mkao huu kama mwenzi mkeo ni mjamzito kuanzia miezi mitano

Kwa leo nikomee hapa. Kazi kwenu wana ndoa.

No comments:

Post a Comment

Pages