HAITOSHI KWA BAKU KUTUA BEGANI KWA BWANA YESU PEKEE,MFAHAMU. - waleo blog

Breaking

Tuesday 24 December 2019

HAITOSHI KWA BAKU KUTUA BEGANI KWA BWANA YESU PEKEE,MFAHAMU.


#Utalii

UTANGULIZI
Njiwa Manga ni njiwa anayefugwa nyumbani na binaadamu;yaani mimi mwandishi na wewe msomaji wa makala hii ndio tunao weza.Asili ya njiwa Manga ni huko nchini Iran.Jina lingine la njiwa hawa huitwa Baku.Matumizi makuu ya Baku ni kwa ajili ya mboga,mapambo nk. Lakini,kwa kuwa elimu ni bahari isiyokuwa ma mwisho na akili ni nywele, kila mtu ana zake;utakumbuka ule wimbo uimbwao,,,,{ewe njiwa,,,,,,,,peleka salaamu},haitoshi  na kina sisi tunaopenda kwenda kuleeee kwa________kuongeza mvuto wa kazi,uchumba n.k,’’najua unatabasamu sasa, kwa kuwa umesha nikumbuka ndugu yako kipenzi’’.Wacha basi niendelee kukuletea tabia na sifa za kitoweo hiki kisicho jaa  mkononi ila hujikaanga mwenyewe na kutoa mafuta kibwenaa..


   TABIA ZA BAKU

1.     Ndio ndege asiyeshea mke au mume; ikitokea dume/jike limetoka nje ya ndoa{kuchepuka}, basi mmoja ya hao huumia na kuamua kwenda kutafuta mji mwingine.Njia hii huiamua baada ya kufeli katika mpambano na mgoni wake.


2.     Ugomvi;njiwa huyu hupenda amani pale sehemu atakayokuwa akiishi.Ikitokea magomvi, basi huamua kutafuta makazi mengine.

3.     Kuwa karibu na wanae mfuga; kwa wale wafugao njiwa hawa ni mashahidi wa hili.Ndege huyu hufika mahala hula chakula mkononi mwa binadamu kama utamwekea.’’Sisemi kutupanda mwilini mwetu;  katika hili hata mahakamani nipelekwe na shahidi yangu hapa atakuwa ni bwana Yesu na Yohana mbatizaji, ila kama unapita pita vitabuni’’.


4.     Hupenda ushirikiano; mara nyingi baku kumkuta peke yake ni nadra sana;na ukimuona siku jua huyu ndio katika walee wanao tafuta makazi mapya.

5.     Malezi;ndege huyu ndio wenye kulalia mayai kwa kupokezana baada ya kutagwa na jike,pia hushirikiana katika kulisha watoto na ikitokea mama yao watoto amekufa dume huendeleza majukumu yoote ya mama.

SIFA ZA BAKU
1..Wana rangi tofauti tofauti.
2.  Vichwa vya mviringo.
3 .Manyoya  mpaka miguuni baadhi yao.
4..Sauti nzuri waliapo.
5..Maringo watembeapo.
6..Hutaga mayai mawili 2, na ikitokea la 3 huwa halitotolewi.
7.. Wana midomo mirefu kwa mifupi.

1 comment:

  1. "Perkenalkan kita Sahabat303 Agen Sabung Ayam, Agen Bola Terpercaya, Casino Online, Slot Games.
    Dengan pendaftaran gratis dan mudah tentunya.
    Hanya dengan Minimal Deposit 50 ribu anda sudah bisa bermain dan menikmati Berbagai Bonus Menarik Dari Sahabat303 Berikut Ini :

    » Bonus Deposit 10% Khusus Sportbook
    » Bonus Deposit 10% Khusus Bola Tangkas
    » Bonus Rollingan Live Casino 0,7%
    » Bonus Cashback Casino Games 2%
    » Bonus Cashback Sabung Ayam 5 - 10%
    » Bonus Cashback Sportbook 6 - 16%
    » Bonus Refferal 2%

    Moto kita »
    Kemenangan berapa pun pasti kita bayar lunas.

    Untuk Info Lebih Lanjut Silahkan Hubungi Kami Melalui :
    * LIVE CHAT TERSEDIA , LAYANAN 24 JAM NONSTOP
    * Website : Sahabat303
    * LINE : sahabat_303
    * WA 1 : +855882348077
    * WA 2 : +6287705585269
    * Telegram : @sahabat303
    * FB : Sahabat303

    DAFTAR SITUS JUDI ONLINE TERPERCAYA
    Agen Sabung Ayam
    Agen Bola
    Agen Bandarq
    Agen Togel Online"

    ReplyDelete

Pages