Tahadhari:makala hii imetumia picha na maneno ya moja kwa moja.
I. UTANGULIZI
Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya
ndani na nje ya tundu la haja kubwa(mkundu) na wakati mwingine kutoa damu
wakati wa kutoa haja kubwa. Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali
katika tundu la haja kubwa(mkundu).
Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa
miaka 30 – 70.
Kuna aina mbili za bawasili:
1.
Bawasiri ya Ndani: Hiki nikinyama kinachootea ndani kabla hakijatokea
njee.
2.
Bawasiri
ya Nje: Hiki nikinyama au kivimbe kinatokea njee baada yakutokea ndani. Kinatokea
njee kwawalio athirika, na ukikaa muda mrefu nahuu ugonjwa unajikogotea
matatizo ya kiafya ambayo siyo rahisi kukabiriana nayo, na maranyingi ugonjwa
huu unasababisha vifo vya ghafla.
II. CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI
Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Huu mfumo ukishakua mbovu unakupelekea kutokupata cho vizuli.
Mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula unasababisha chakula kisimeng'enywe vizuri kwenye utumbo mdogo na hivyo kupelekea chakula kupiliza kwenda moja kwa moja kama kilivyo kwenda kwenye utumbo mkubwa ambapo maji maji kutoka kwenye chakula hufyonzwa na kuacha chakula kikiwa kikavu.Inapofikia wakati wa kupata choo; choo kinakua kikavu hivyo unatumia nguvu nyingi kukisukuma choo kitoke. Sasa kitendo hicho kinapelekea misuli ya haja kubwa kutanuka na kupelekea kukwanguliwa na choo kigumu na hivyo kinyama kuanza kujitengeneza, na hapo ndipo utaanza kusikia maumivu na miwasho kwa ndani, na mara nyingine kupata choo chenye damu.Kadri unavyoendelea kupata choo kigumu misuli inaendelea kukwanguliwa na kinyama kuongezeka mpaka kinatokezea nje na hicho kinyama kinaitwa Bawasiri (Hemorrhoids).Mtu anastahili kupata choo kulingana na milo anayetumia kila siku. Mtu mwenye afya nzuri anapata choo kulingana na milo aliopata kwa siku. Kama unauwezo wakupata milo mitatu kwa siku, unasitahili kupata choo mara tatu kwa siku, tena choo chako kitoke na urefu sawa wa ndizi mbivu, bila kujikatakata kama kile cha mbuzi.
Hivi ni baadhi ya vitu vingine vinapelekea mtu kupatwa na
ugonjwa wa bawasili.
·
Kufanya
mapenzi kinyume na maumbile·
·
Kuharisha
kwa mda mrefu·
·
Tatizo
la kutopata choo laini au kujisaidia kinyesi kigumu,·
·
Kinyesi
cha kujikatakata kama kile cha mbuzi·
·
Tatizo
la umri mkubwa·
·
Uzito
kupita kiasi (Uzito uliopindukia)
·
Matumizi
ya vyoo vya kukaa au vya kuchangia
III.
DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI – CHUKUA
TAHADHARI MAPEMA
- Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa(mkunduni). Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya
muda furani.
- Kukatishwa kwa haja kubwa na kurudi ndani wakati wa
kujisaidia. Hiki kitendo nikibaya sana.
- Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa(mkunduni). Uvimbe huu unaanza kuota kama upeleupele.
- Kujitokezea kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa. Kinyama hiki kinaanzia ndani ya tundu la haja kubwa(mkunduni). kikitokea nje, ujue kwamba una hili tatizo la bawasili kwa muda mrefu, na linaweza kusababisha vifo vya gafla kwa sababu mishipa inayosafirisha damu ndio inakwanguliwa na mwishoe kuathirika. Chukua tahadhari mapema kabla hujaathirika sana au kupoteza maisha; kwasababu hiki ni chanzo cha kupatwa na magonjwa mengine mengi ya kiafya.
- Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana
- Kupumua (kujamba) kiasi kwamba mwezako hawezi kuvumilia hali iliotokea ya uchafuzi wa mazingira.
IV. MADHARA YA UGONJWA WA BAWASILI –
CHUKUA TAHADHARI NA HATUA MAPEMA
·
Upungufu
wa damu mwilini
·
Kupata
maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu
ya haja kubwa kukwanguliwa.
·
Kuna
uwezekano mkubwa wa kupata saratani
ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa
kama kidonda
·
Kutopata
hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote.
·
Upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanamume, ikiwemo uume kushindwa kusimama kwa muda unaotakiwa na
kushindwa kurudisha heshima ya ndoa.
·
Uume kusinyaa (unapoteza
urefu na ukakamavu)
·
Sperms
(Mbegu za mwamume) kutokua bora kiasi kwamba haziwezi kumpa mimba mwanamke, au
kusababisha mimba kutoka kila wakati.
·
Kuathirika kisaikolojia.
·
Kutojiamini
katika hadhara ya watu.
V.
JINSI
YA KUDHIBITI TATIZO HILI LA
BAWASILI (HEMORHOIDS
) KABRA HALIJAKUPATA
·
Jitahidi
kupata mlo kamili kila siku. Tutumia matunda na mboga za majani kwa wingi (kila
mlo).
·
Kunywa
maji ya kutosha. Angalau lita 3 kwa siku.
·
Epuka
kukaa chooni kwa mda mrefu
·
Jiepushe
na vilevi
·
Usiwe
mpenzi wavitu vya viwandani
·
Jenga
utaratibu wa kusafisha mwili wako.
VI. NJIA ZAKUONDOA TATIZO HILI
a. Tiba yake hospitalini Ugonjwa huu tiba yake ni opereation (kukukata uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa ili usiendelee kukua na kusababisha magonjwa mengine. Lakini tiba hii si nzuri kwani hupelekea kujirudia tena kwa uvimbe pale mgonjwa akosapo kinga tosha mwilini. Pia hupelekea maumivu makali kwa mgonjwa, na baadae tatizo hili kujirudia kwa kasi kubwa. Operation ya Bawasili ni bei gali mnoo, sio wote wanaopata furusa hii hata kama sio nzuri kiafya. b. Tiba nzuri ni kutumia lishe na virutubisho (mwili utajitengenezea kinga bora tena yakudumu).
Tiba nzuri ni kuanda utaratibu wa kusafisha mfumo wako mzima wa mumeng’enyo wa chakula (Digestive System) kwa njia asilia bila kutumia makemikali yeyote.
Chanzo cha magonjwa yote tunayoyapata anatokana na mfumo mbovu wa mumeng’enyo wa chakula na mzunguko wa damu.
No comments:
Post a Comment