#AFYA
Familia nyingi zina changamoto ya mfumo wa uzazi. Leo hii tunaenda kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume hususani: "Upungufu wa nguvu za kiume". Takwimu za afya zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35 – 75+.
Kuna aina 3 za upungufu wa nguvu za kiume:
- Shahawa
(sperms) hazina uwezo wa kutunga mimba.
-
Ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. Ikitokea umepata hamu
hata kidogo shahawa zinawahi kutoka. Wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa
lakini hawatoi shahawa.
- Uume
kutosimama (mashoga)
Chanzo cha matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume
Upungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, ila ni kama indicator inayoonesha
kwamba kuna baadhi ya viungo ndani ya mwili wa binadamu ambavyo vinahusika na
suala zima la nguvu za kiume havifanyi kazi vizuri. Baadhi ya hivyo viungo
vinavyo husika na nguvu za kiume ni: Moyo, Ini, Figo, Ubongo, Mishipa, Tezi
dume, Misuli,n.k. Kunapokuwa na hitilafu kwenye viungo hivi ndiyo vinapelekea
moja kwa moja mtu kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Hivi ni baadhi ya vitu vinavyo sababisha viungo
tulivyo taja hapo juu kutofanya kazi vizuri na baadae kusababisha matatizo
mbali mbali ikiwemo vifo.
Kuwa makini na vitu vifuatavyo:
- Uvutaji wa
sigara, na utumiaji wa dawa za kulevya.
- Pombe (aina
yeyote).
- Masturbation
(Kujichua, au kupiga punyeto)
-
Kula vyakula venye kuharibu mfumo wetu wa mmeng’enyo wa
chakula (Digestive System). Huu mfumo ukiharibika unasababisha damu
kutosafirishwa vizuri mwilini.
- Uzito mkubwa
au kitambi
- Tatizo la
Kutokupata choo vizuri (Constipation)
- Tatizo la
Tezi dume
- Matatizo ya
moyo
- Kisukari
(Diabetes)
- Stress,
Pressure, Cholesterol
- Hormone
imbalance
- Kukaa kwa
muda mrefu
- Kutumia sana
madawa yenye kemikali (Hospital). Hapa
unatakiwa kuwa makini na kukumbuka kwamba mili yetu haijaumbwa kwajili ya madawa
ya kikemikali. Mili yetu iliumbwa ili iweze kujitengenezea kinga kupitia
vyakula tunavyo kula vyenye lishe na virutubisho; siyo madawa ya kikemikali au
mitishamba. Tunaenda hospitalini kwasababu hakuna njia mbadala. Kama wewe
unahitaji kuwa na afya bora na ujiepushe na magonjwa mbali mbali, unashauriwa
kujenga utaratibu wa kupatia mwili wako lishe kamili na virutubisho muhimu.
Dalili za upungufu wa nguvu za kiume
Na tunapo ongelea suala la upungufu wa nguvu za kiume tunamaanisha:
- kukosa hamu
ya tendo la ndoa
- Kukosa
pumzi
- Uwezo wa
kushindwa kurudia tendo la ndoa
- Uume
kusimama kwa ulegevu
- Kuwahi
kufik:a kieleni
-
Kuchelewa sana kufika kileleni, ukizidi kuchelewa
mwenzako anapata maumivu makali sana na kuanza kujuta japo hatakwambia kwa
sababu ni aibu kwake; na wewe pia hutofurahiya tendo la ndoa. Utaathirika
kisaikolojia kwa njia moja au nyingine
- Kuchoka sana
baada ya tendo au kujisikia kichefuchefu, wakati mwingine wengi hua wanajihiisi
kutapika.
Madhara ya Upungufu wa nguvu za kiume
Kabla hatujaenda kutiririka baadhi ya madhara yanayotokana na upungufu wa nguvu za kiume, kuna kitu muhimu sana kwa wanandoa au wapenzi wanastahili kukijua. Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana na aliumbwa na uwezo wakuweza kukojoa zaidi ya mara 5, endapo wewe utaweka sawa afya yako na kujuwa ni vitu gani unastahili kufahamu. Ili mwanamke akojoe kwa mshindo wa kwanza ni lazima uume wako uweze kusimama angalau dakika 5 – 10 ukiwa unachezesha uume wako kwenye mashavu ya uke.
Wanawake wanapenda sana kuchezewa kwenye mashavu ya uke
kwa kutumia uume, siyo vinginevyo. Wanaume wengi wanashindwa kuwaridhisha
wenzao kwasababu ya upungufu wa nguvu zao za kiume unawapelekea kutumia zingine
nondo mbali mbali ili angalau waweze kuwaridhisha wenzao. Ukweli thabiti ni
huu: endapo unakuwa na afya nzuri ya mfumo wa uzazi, utaweza kusimamisha uume
wako na kumridhisha kiurahisi bila kutumia nguvu nyingi kwa kila mshindo.
Mfumo
wako wa uzazi ukiwa haufanyi kazi vizuri, utapata madhara yafuatayo:
- Dharau
- Kushindwa
kumridhisha mwanamke. Hili tatizo linampelekea kutoka nje ya ndoa na baadae
kuachika
- Kushindwa
kupata mtoto
- Kushindwa
kupata ladha kamili la tendo la ndoa
- Kuchoka
haraka wakati wa tendo la ndoa
- Uume
kusimama kwa ulegevu
- Fujo kila
kukicha.
-
Kutoka nje ya ndoa (jinsia zote). Vitu unavyoenda
kutafuta havieleweki, havina msingi; bali unakaribisha matatizo juu ya mengine.
-
Ndoa kusambaratika, na kurandaranda kila sehemu.
Unajishushia heshima mwenyewe bila kujitambuwa.
- Uume
kusinyaa na kupoteza ubora na ukakamavu.
Miili
yetu ni sawa na kiwanda. Kiwandani kuna vitu vingi sana: kuna mashine,
wafanyakazi, umeme, maji, n.k; kinapokosekana kimoja kati ya hivyo kiwanda
hakiwezi kufanya kazi vizuri. Ndivyo vivyo kwenye miili yetu tukija kwenye
upande wa nguvu za kiume. Nguvu za kiume ni kama kiwanda.
Nyongeza: Tuishi
katika mfumo mzima tunaotakiwa kuishi binaadamu, yaani hapa tuna maanisha tule mlo kamili kwa wakati
stahili,mavazi,malazi,kuzingatia mazoezi stahili na kujikinga na magonjwa
mbalimbali.
No comments:
Post a Comment