Serikali yataja sababu za kushuka kwa ufaulu wa darasa la
saba
WALEO BLOG
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara ameeleza sababu za kushuka kwa ufaulu kwa
wananfunzi wa darasa la 7 wa mwaka 2017.
Waitara ametaja sababu hizo kuwa ni pamoja na pungufu wa walimu, ushiriki hafifu wa wazazi
kutofuatilia maendeleo ya watoto,utoro.
"Sababu za kushuka kwa ufaulu wanafunzi wa DRS la 7 wa
2017,upungufu wa walimu, ushiriki hafifu wa wazazi kutofuatilia maendeleo ya
watoto,utoro na nyingine nyingi, walimu wa shule ya msingi wanaojariwa
wanafundisha masomo yote ya Sanaa na Sayansi na Hisabati, mpaka sasa tumeajiri
walimu 14,422," amesema Waitara leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu
swali la Mbunge wa Mbinga vijijini.
No comments:
Post a Comment