KILIO CHA DC GONDWE CHAJIBIWA - waleo blog

Breaking

Monday 3 June 2019

KILIO CHA DC GONDWE CHAJIBIWA


KILIO CHA GONDWE CHAPATA JIBU

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tixod Nzunda amewataka Wakurugenzi kuhakikisha wanawalipa Walimu fedha zao zote wanazodai kwani wao kama Serikali tayari wameshaziingiza kwenye akaunti za Halmashauri.

Agizo hilo limekuja baada ya Wabunge wa Majimbo mawili yaliyopo Wilayani Handeni Omary Kigoda na Mboni Mhita Kuomba msaada wa Katibu huyo ili kuboresha miundombinu ya Elimu.

 
WAZIRI MPINA KUTUMBUA WAKURUGENZI, AKATAA KUMUITA RAIS “HATA MIMI SITAKUJA”

 

No comments:

Post a Comment

Pages