IGP SIRRO ACHARUKA - waleo blog

Breaking

Monday 3 June 2019

IGP SIRRO ACHARUKA


IGP Sirro ataka upelelezi wa kesi ukamilike haraka
WALEO BLOG



Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimsikiliza Rais wa kampuni ya Huawei Kanda ya Afrika, Leo Chen, alipomtembelea ofisini kwake makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es salaam na kujadiliana masuala mbalimbali ikiwemo namna mifumo ya tekinolojia ya mawasiliano inavyoweza kufanyakazi kwenye suala la kuwabaini wahalifu. Picha zote na Jeshi la polisi.




Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na askari (hawapo Pichani) wanaopata mafunzo ya upelelezi katika chuo cha maafisa wa polisi Kurasini, Dar es salaam, ambapo IGP Sirro aliwataka askari hao kuhakikisha kuwa upelelezi wa kesi unakamilika haraka. Picha na Jeshi la Polisi.




No comments:

Post a Comment

Pages