DONALD TRUMP KUKUTANA NA THERESA MAY UINGEREZA - waleo blog

Breaking

Tuesday 4 June 2019

DONALD TRUMP KUKUTANA NA THERESA MAY UINGEREZA


Rais wa marekani, Donald  Trump anatarajiwa kukutana na waziri mkuu wa Uingereza, Theresa May katika mazungumzo ya kina katika siku yake ya pili ya ziara yake ya kikazi nchi Uingereza ambapo mabadiliko ya tabia ya nchi ni moja ya masuala yatakayo jadiliwa na viongozi hao

No comments:

Post a Comment

Pages