BASI LA PREMIER EXPRESS LAPATA AJALI MBEYA - waleo blog

Breaking

Sunday 16 June 2019

BASI LA PREMIER EXPRESS LAPATA AJALI MBEYA




Basi la Premier lilokuwa likitoka Mbeya kuelekea Mwanza, leo Juni 16, 2019 limepata ajali maeneo Uyole Mbeya baada ya kugongana na gari ndogo aina ya Noah lilokuwa likiendeshwa na mama ambaye hakutambulika jina lake amepata majeraha. Chanzo cha ajali hiyo mwendokasi pamoja na kuovertake.

Katika ajali hiyo abiria waliokuwa kwenyegari kubwa hawajapata majeraha zaidiya mama aliyekuwa anaendesha gari dogo aina ya Noah.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa Tanzania Regional Bus (TRB) kupitia ukurasa wao wa Instagram.




No comments:

Post a Comment

Pages