TAIFA STARS WARIPOTI KATIKA HOTEL WALIYOPANGIWA. - waleo blog

Breaking

Sunday 16 June 2019

TAIFA STARS WARIPOTI KATIKA HOTEL WALIYOPANGIWA.


Taifa Stars waripoti Hoteli waliyopangiwa na CAF kwa ajili ya AFCON




Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imeripoti rasmi kwenye Hoteli ya Helnan Landmark,New Cairo ambayo imepangiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF kuitumia wakati wote wa mashindano ya AFCON nchini Misri.




No comments:

Post a Comment

Pages