BABA AMBAKA MWANAWE - waleo blog

Breaking

Wednesday 29 May 2019

BABA AMBAKA MWANAWE



Bwana mmoja aliye fahamika kwa jina la Saidy Rashid(36)  amefikishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake.

Mshitakiwa anatuhumuwa kutenda kosa ilo mnamo mwaka 2016 na April 2019 huko nyumbani kwake mbezi juu.

Hata ivyo mstakiwa amekana kosa hilo na kurudiswa rumande kwa kushidwa kukidhi masharti ya dhamana (alitakiwa kuwa na mdhamini  mmoja atakayesahini bondi ya Tsh milioni 1.

Kesi hiyo imeahiliswa adi juni 10, keshi itakapotajwa tena kutokana na kutokamilika upelelezi.

No comments:

Post a Comment

Pages