JIFUNZE MAUJANJA USIKUBALI KUCHUKULIWA MME WAKO - waleo blog

Breaking

Thursday 30 May 2019

JIFUNZE MAUJANJA USIKUBALI KUCHUKULIWA MME WAKO


JIFUNZE JINSI YA KUKATA KIUNO WAKATI WA TENDO LA NDOA UNAPOKUWA NA MUME WAKO KATIKA FARAGHA !!!.
Add caption


Simama wima (ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it’ll work better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda.

Rudia kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo na kumbuka kubana pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukaza misuli ya tumbo pia), kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, chap-chap, kugandisha n.k) mpaka utakapo hisi tumbo lako linatetema/tikisika (yaani vibrating).

Msingi wa kukata kiuno
Kama nilivyosema awali, simama wima najishike kiunoni (kuhu na huku) kisha peleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo(nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapo peleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto-kushoto, kisha peleka sehemu yako ya mbele nyuma hali itakayofanya matako yako yabinuke/jitokeze kwa nyuma…..nyoosha magoti kisha rudi kulia (ulipoanzia).

Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena ambazo ni simama wima-kulia-mbele-kushoto-nyuma kulia x 20 na kuendelea inategemea zaidi na bidii yako.

Baada ya kuzoea hatua hizo hapo ndio unapotakiwa ku-create movements na mirindimo yako kivyako. Mfano lala chali, kifudifudi (lalia tumbo), ubavu, chutama, piga magoti n.k kisha nenda kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpaka kiuno kizoee….. alafu usisahau ukiwa ndani ya “game” kukilazimisha mpaka kitakapo kubali/zoea.

Kidokezo: Zoezi zuri la kukata kino ni kulala kifudifudi (kulalia tumbo) kisha kukizunguusha (hapa usipokuwa mwangalifu unaweza ku-cum

No comments:

Post a Comment

Pages