MPIGANAJI HATARI WA JWTZ ATOA KAFARA ULINGONI - waleo blog

Breaking

Saturday 15 August 2020

MPIGANAJI HATARI WA JWTZ ATOA KAFARA ULINGONI

 #NDONDI

Bondia kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania bwana Suleiman Kidunda,awa gumzo siku ya tarehe 15/08/2020 baada ya kumtwanga makonde ya hatari mpinzani wake bwana  Kaoneka ndani ya raundi ya 1 dakika ya 1 na sekunde kadhaa,kabla ya mpinzani wake huyo kuomba poo na hatimaye kuomba kustaafu michezo hiyo rasmi jana ndani ya ukumbi wa Mlimani city DAR....MWANA KULITAFUTA MWANA KULIPATA ndio maneno ya Kidunda baada ya pambano.JWTZ rasmi sasa kushiriki ngumi za ridhaa.


No comments:

Post a Comment

Pages