WASANII 10 BORA BARANI AFRIKA - waleo blog

Breaking

Wednesday 18 December 2019

WASANII 10 BORA BARANI AFRIKA


Shirika la habari la CNN,hivi karibuni lilitangaza idadi ya wasanii 10 bora kutoka barani Afrika huku Nigeria ikionesha jeuri ya kutoa wasanii watano {5}, ambao ni  Burna Boy, Yemi Alade, Wizkid, Mr Eazi, na Tiwa Savage.
1. Burna Boy – Nigeria
2. Angelique Kidjo – Benin
3. Diamond Platnumz – Tanzania
4. Yemi Alade – Nigeria
5. Tiwa Savage – Nigeria
6. Wizkid – Nigeria
7. Mr. Eazi – Nigeria
8. Sho Madjozi – South Africa
9. Busiswa Gqulu – South Africa
10. Mwila Musonda, aka Slapdee – Zambia

No comments:

Post a Comment

Pages