POLISI WANNE WAHOFIWA KUFA - waleo blog

Breaking

Sunday 16 June 2019

POLISI WANNE WAHOFIWA KUFA





Maafisa wanane wa Polisi wanahofiwa kufariki baada ya gari la polisi lililokuwa likipiga doria mjini Wajir Kaskazini mwa Kenya kukanyaga bomu.

Tayari vikosi vya usalama ikiwemo wale wa angani wamepelekwa katika eneo hilo kufuatia kisa hicho.

Inspekta Jenerali wa Polisi, Hillary Mutyambai ametoa taarifa iliyosema kuwa gari hilo lilikuwa imewabeba maafisa 11 na ilikuwa ikipiga doria katika mpaka wa Kenya na Somalia.

No comments:

Post a Comment

Pages