KADA WA CHADEMA KUUWAWA - waleo blog

Breaking

Wednesday 5 June 2019

KADA WA CHADEMA KUUWAWA



Tukio ambalo limezua gumzo katika Mji wa Morogoro, maeneo ya Chamwino ni la mauaji ya kada wa Chadema aliyefahamika kwa jina la Boniface Augustino ambaye anadaiwa kuuawa na mkewe aitwae Neema Godfrey akishirikiana na bintiye na mtu mwingine ambaye jina lake halikufahamika.

Mauaji hayo yaliyoacha simanzi na vilio yaliyotokea Mei 27, mwaka huu saa 7 mchana mtaa wa Mwande ambapo inadaiwa kabla ya tukio hilo, marehemu alikuwa na mgogoro na mkewe, chanzo kikiwa hakifahamiki.


No comments:

Post a Comment

Pages