BREAKING NEWS:AJALI YAUA NA KUJERUHI WANNE - waleo blog

Breaking

Sunday 21 June 2020

BREAKING NEWS:AJALI YAUA NA KUJERUHI WANNE

Ajali imetokea Tabata Aroma leo 21 Juni, 2020, mtu mmoja amefariki na wengine wanne kujeruhiwa vibaya. Ajali hiyo imehusisha daladala mbili moja ikiwa na namba ya usajili T117 DSK ya Tabata Kinyerezi - Mnazi Mmoja na nyingine iliyofanikiwa kukimbia ni gari ndogo aina ya Harriers na bodaboda Marehemu alikuwa mwendesha bodaboda aliyekuwa amempakia Trafic wa kike wakitokea kituo cha polisi Tabata. #Subscribe #Comment #Share

No comments:

Post a Comment

Pages