BILLIONEA MPYA SANINIU LAIZER AELEZA ATAKAVYOTUMIA PESA ZAKE - waleo blog

Breaking

Wednesday 24 June 2020

BILLIONEA MPYA SANINIU LAIZER AELEZA ATAKAVYOTUMIA PESA ZAKE

Tanzanite kubwa kuliko zote kuwahi kuchimbwa imepatikana Tanzania kupitia kwa mchimbaji mdogo Mtanzania, Saniniu Laizer ambaye amepata mawe makubwa mawili, yaliyonunuliwa na serikali kwa sh bilioni 7.8.
 Madini Hayo ambayo moja lina kilo 9.2 lina thamani ya bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani ya shilingi bilioni 3.3.
 Aidha baada ya kupata madini hayo bwana Laizer aliyafikisha katika kituo cha utambuzi. Na hii leo serikali ya Tanzania imeyanunua madini hayo kwa thamani ya bilioni saba na milioni mia saba za kitanznaia.
 Madini hayo yamekabidhiwa kwa serikali na bwana Lazier ambaye ni mkazi wa Simanjiro na fedha zake atalipwa kupitia Benk.
 Kabla ya madini haya kulikuwa na jiwe kubwa lenye rekodi ambalo lilichimbwa na kampuni ya Tanzanite one na kuuzwa nchini Thailand ambako linatumika kama kivutio cha Utalii nchini humo.
 

No comments:

Post a Comment

Pages